Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtambulisha
na kumnadi mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki kwa tiketi ya
CCM Mahamoud Thabit Kombo kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo
wa Uwakilishi wa Jimbo hilo uliofanyika leo jioni katika uwanja wa Tawi
la CCM Kiembe samaki.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Ilani Katiba na
Sera ya CCM mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki CCM Mahamoud
Thabit Kombo kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi
wa Jimbo hilo uliofanyika leo jioni katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe
samaki.
0 comments:
Chapisha Maoni