Searching...
Alhamisi, 9 Januari 2014

JUMANNE IDDY WA BSS APATA AJALI MBAYA AKIWA NA MWANAE

 JUMANNE IDDY.
Yule mshindi wa Bongo Star Search (BSS) mnamo mwaka 2007 'Jumanne Iddy' (Jay Four) Amepata ajali usiku wa kuamkia leo huko Bagamoyo mkoani pwani,na ameumia mkono na mguu ambapo kwa sasa anasubiri matibabu.
Kwa taarifa zaidi kuhusiana na ajali hii utazipata muda sio mrefu

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!