THOMAS HITZLSPERGER.
Hatimaye Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani,Aston Villa,Everton na West hamTHOMAS HITZLSPERGER ameweka wazi kwenye vyombo vya habari kwamba yeye ni shoga na kuweka historia ya kuwa mchezaji maarufu zaidi duniani wa soka aliyejitangaza kuwa ni shoga huku akisema anajisikia amani na furaha kuujulisha ulimwengu kuhusu hali hiyo.
THOMAS HITZLSPERGER.
mchezaji huyo wa nafasi ya kiungo mwenye umri wa miaka 31 amesema anatarajia siku moja atakuja kuishi na mume wake pamoja na kuongeza kwamba hajisikii aibu watu kujua kwamba yeye ni shoga.
0 comments:
Chapisha Maoni