Sunderland wakifunga goli lao la pili kwa njia ya penalt baada Tom Cleverley kumchezea madhambi Adam Johnson.
Kocha wa Manchester United David Moyes akiwa haamini macho yake baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Sunderland katika mechi kali ya nusu fainali ya kombe la Capital One,kombe pekee walilokuwa wakilitolea macho msimu huu.
Wahenga walisema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,hawa ni mashabiki wa Manchester United wakiwa na matumaini tele muda mfupi kabla ya mechi yao ya nusu fainali dhidi ya Sunderland na kisha kupokea kipigo cha mabao 2-1 na kutoka uwanjani wakiwa vichwa chini.
Bryan Robson, Alex Ferguson na Bobby Charlton wakiuangalia mchezo Sunderland v United
0 comments:
Chapisha Maoni