MOYES AKICHEKELEA PAMOJA NA MCHEZAJI WAKE MPYA JUAN MATA.
Hatimaye klabu ya Manchester United inayoonekana kuchechemea na kuganda katika nafasi ya saba katika msimamo wa ligi kuu England wamefanikiwa kumsajili kiuongo mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania kutoka timu ya Chelsea kwa kitita cha paundi milioni 37.1
swali la wengi ni je,Moyes kumnasa Mata katika hili dirisha dogo kutaibadilisha timu yake ya Man u?? hakuna jibu mbadala zaidi ya kusema tusubiri tuone.
KARIBU NYUMBANI KWAKO MWANANGU
0 comments:
Chapisha Maoni