Searching...
Jumapili, 26 Januari 2014

MTANGAZAJI MAARUFU WA MICHEZO RADIO ONE AIBUKA NA TUZO


mtangazaji nguli wa vipindi vya michezo vya radio one sport leo,ulimwengu wa michezo na muziki 
na michezo Omary Katanga maarufu kama mlinda mlango namba moja ametunukiwa tuzo ya mwandishi bora wa kiume katika habari za ngumi za ridhaa Tanzania,na kuwabwaga wenzake wengi waliokuwa wanawania tuzo hiyo.
 
Mtangazaji radio one Omary Katanga akiwa na rais wa shirikisho la ngumi nchini BFT MUTA RWAKATARE muda mfupi baada ya kutwaa tuzo hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!