Taarifa ambazo zimetufikia hivi punde zinasema moto mkubwa umezuka katika kijiji cha Shumba mjini katika mji wa Pemba na kuteketeza zadi ya nyumba 30 hadi hivi sasa,na bado moto huo haujadhibitiwa kutokana na magari ya zima moto kuchelewa kufika katika eneo la tukio.
chanzo chetu cha habari cha kuaminika kutoka pemba kinasema kwa mujibu wa taarifa za awali za wenye nyumba wanasema huenda chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme.
kwa taarifa kamili za ajali hii ikiwa ni pamoja na picha za tukio hili endelea kutembelea Mchome Blog,mtandao wako wa habari.
0 comments:
Chapisha Maoni