Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe.
Ramadhan Shaaban akikata utepe wakati akifungu Jengo la Ofisi ya Kitengo
Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto kiliopo Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji
wa Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Mdhamini wa kitengo Shirikishi Afya ya Mzazi na
Mtoto Dkt. Ali Omar Ali akimfahamisha kitu Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati
Mhe. Ramadhan Shaaban alipokua akikagua jengo hilo mara baada ya kulifungua huko
Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Baadhi ya wageni walikwa waliohururia katika
ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto huko
Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri wa Afya Juma Duni Haji akimkaribisha
mgeni rasmin Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban azungumze
na wageni waalikwa katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Kitengo
Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto huko Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa
Zanzibar.
Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe.
Ramadhan Shaaban akiwahutubia wageni walikwa katika ufunguzi wa Jengo la Ofisi
ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto liliopo Kidongo Chekundu nje
kidogo ya Mji wa Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
0 comments:
Chapisha Maoni