Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.
Willibrod Slaa akivishwa shada la maua na mmoja wa watoto wa kijiji cha
Kakola katika jimbo la Tabora mjini, alipokwenda kufungua tawi la chama
hicho, akiwa katika ziara yake ya kujenga chama jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.
Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Tabora leo tarehe
16/12/2013, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa
Shule ya Sekondari Uyui jana, ikiwa ni mfululizo wa ziara yake ya
kujenga chama katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Singida.
(Picha na
Joseph Senga).
0 comments:
Chapisha Maoni