
Askofu akisalimu waumini Msakofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung’u akisalimu waumini.

Mhe. Lowassa akihutubia Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza harambee
ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa
Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara juzi.
Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni
Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa
Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung’u.

Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza alipokuwa akiongoza harambee
ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa
Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara juzi. Jumla y
Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa
Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya
Masasi, Oscar Mnung’u.

Mwimbaji wa
nyimbo za injili, Rose Mhando akiimba katika Kanisa Kuu la Aglikana
Dayosisi ya Mtandi Masasi wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya
wanawake na watoto iliyofanyika kanisani hapo juzi.

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa
akiwaaga waumini wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi baada
ya kumaliza kuendesha harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na
watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la dayosisi hiyo, juzi. Jumla ya
Sh103 milioni zilichangishwa katika harambee hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni