Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami
Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjaro
Ajali mbaya imetokea eneo la mto wami
na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia
hiyo,Dj sek blog imefanikiwa kupata picha kadha za ajali hiyo,Chanzo cha
ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka
kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia
ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.





0 comments:
Chapisha Maoni