Searching...
Jumatatu, 23 Desemba 2013

KIMENUKA DRC,JESHI LA DRC LAINGIA MSITUNI KUWASAKA WAASI ANGALIA PICHA 16 ZA OPERESHENI HIYO

kikosi chenye nguvu kinacho ongozwa na vijana wa congo kuwasaka waasi huko mashariki ya DRC mpakani na Uganda=Kikosi hicho kinaongozwa na kamanda kijana kamanda mamadou ndala 
 

Mzaa umekwisha katika jeshi la Congo baada ya kamanda mamadou ndala kuwaambia askari wote huko beni kuingia pori kuwasaka waasi ili kuwahakikishia ulinzi wananchi wa Congo.

 

kazi ya Jeshi Kugangamala.
 
Genarali MUNDOS akiwa na jeshi lake kwenyi milima ya Rwenzori mpakani mwa Congo na Uganda.
  
Msafara wa makamanda ukivuka mto Semukili huko Beni DRC huku mtangazaji mwakilishi wa DRC Austere Malivika Joseph akiwa miongoni mwa makanda kwenda msituni kuwasaka waasi.
 
Makamanda wakiwa wanapunga upepo pembezoni mwa mto Lemukili Beni DRC
  
Mtanngazaji wa ITV na Radio One huko DRC Austere Malivika akiwajibika kwa kufanya yake katika operesheni hiyo.
 
Mamadou NDALA AVUKA MITO NA MABONDE hapa yuko ndani ya mto semuliki 
  
Askari wa DRC wakiwa katika mwanzo wa msako wa ADF
  
Vijana wa Kabila wakipiga mahesabu ya kuingia katika milima ya Ruwenzori kuwasaka waasi.
  
Mamadou Ndala akisalimu ndugu zake mpakani mwa ituri na Kivu jana jumapili
  
...kijana tulia usiwe na hofu,sisi tupo tunakulinda...ni kama askari hawa wanamuambia huyu kijana mdogo.
 
kamanda MAMADOU NDALA akiwa mstari wa mbele kabisa kuingia porini kuwasaka waasi katika milima ya Ruwenzori mashariki mwa DRC na Uganda.
  
Jeshi la Congo katika msakao wa ADF huko Beni Eringeti.
  
Askari makomando wa DRC wakiwa katika mbuga ya wanyamapori ya Virunga eneo la Kyavinyonge KARURUMA karibu na Isale.
  
Hapa ni mpaka kieleweke.




0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!