Searching...
Jumatatu, 23 Desemba 2013

KASEBA AMCHAKAZA ALIBABA KWA K,O RAUNDI YA 4

Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Alibaba Ramadhani wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa uliofanyika Manzese Dar es salaam Kaseba alishinda kwa KO ya raundi ya nne ya mpambano huo.
Kanda kabongo akimuhuumia Japhert Kaseba
Bondia Omari Nampekecha 'peche boy' kushoto akipambana na hasani Kiware wakati wa mpambano huo nampekecha alishinda kwa pointi
Kaseba akiwa na familia yake pamoja na mashabiki baada ya kushinda mchezo wake.
Bondia Pendo Njau kushoto akiwa na bondia Llulu Kayage wakati wa mpambano huo
mashabiki wakiangalia mpambano.
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point.
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!