Searching...
Jumatatu, 9 Desemba 2013

DJ S DIZO WA MAISHA ANUSURIKA KUFA KATIKA AJALI MBAYA SANA YA GARI-ANGALIA INAVYOTISHA

Mfanyakazi wa maisha Club maarufu kama Dj S daizo Mzee wa Pamba, juzi usiku akiwa anatoka kula bata kwenye bar moja maarufu sana Mjini  Dodoma ambayo ipo maeneo ya Area d Maarufu kwa jina la  Kwa Matei(Mti Christmas)  ambapo majira ya 7 akiwa na gari aina ya Toyota IST zenye namba za usajili T489 CJH akiwa anaelekea club Maisha, maeneo ya Round about ya kuelekea mjini ndio kulitokea ajali hiyo mbaya,Ingawa mpaka sasa hatujajua chanzo cha ajali ilikuwaje ila hali yake inaendelea vizuri. 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!