Tukio hilo lilitokea rasmi jana kwenye show ya
Diamond pale leaders Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa
''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' na ndipo baada ya muda mfupi alipanda
stejini mwanadada Wema Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na
kukumbatiana naye kuonesha ishara ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa
kasi.
Ijumaa, 27 Desemba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni