Searching...
Ijumaa, 27 Desemba 2013

HATARIIIIII...MWANAMKE WA KITANZANIA MREMBO AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA.




Hapa ni Polisi wakichunguza vidonge ambavyo huyu mrembo alikuwa amevimeza tumboni.

Waandishi wa habari wakipiga picha vidonge vya heroin alivyokamatwa navyo mrembo huyu wa Kitanzania.

Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao. Dawa hizo zilikutwa tumboni mwake baada ya kushtukiwa na kufanyiwa X-ray ambapo alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.
Mwanamke huyo alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita. Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko Chima.
kwa hisani ya jamii forum

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!