Searching...
Alhamisi, 7 Novemba 2013

WABUNGE WAENDELEA KUKAIDI AGIZO LA MHESHIMIWA SPIKA

Pamoja na agizo la spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Anna Makinda kuwahimiza wabunge mara kwa mara kumuacha waziri mkuu kusikiliza na kufuatilia shughuli zote za bunge kama kiongozi wa serikali bungeni,bado baadhi ya wabunge wameendelea kukaidi agizo hilo kama ambavyo mheshimiwa Neema Mgaya alivyonaswa akiwa na kikao binafsi na waziri mkuu wakati kikao halali cha bunge kikiendelea Mjini Dodoma, Novemba 6, 2013.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!