Searching...
Jumatano, 13 Novemba 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA 14-11-2013 ALHAMISI



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 14/11/2013.
[Mikoa ya  Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mkoa ya Kigoma  ]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam  na Pwani]:
[Mikoa ya Lindi  na Mtwara]:
 Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.



 [Mikoa ya Iringa, Rukwa, Ruvuma na Mbeya]:
 [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Shinyanga na Singida]:
[Mikoa ya Dodoma,na Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
              29°C               
12:24
D'SALAAM
          33°C           
12:18
DODOMA
32°C
12:31
KIGOMA  
28°C
12:54
MBEYA
26°C
12:44
MWANZA
26°C
12:37
TABORA
31°C
12:42
TANGA
32°C
12:17
ZANZIBAR
            31°C           
12:18
PEMBA
31°C
12:17
MOROGORO
34°C
12:25
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
ya kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi: 14/11/2013: Mabadiliko kidogo. Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 14/11/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!