Baadhi
ya askari polisi wakitelemsha maiti ya mtu ambaye ameuawa kwa kukatwa
kichwa na watu kutoweka na kichwa chake usiku wa kuamkia leo kwa ajili
ya kuhifadhi katika hchumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali ya
mkoa iliyopo mjini Sumbawanga.
Mwenyekiti
huyo aliongeza kuwa watu hao baada ya kufanya mauaji hayo walikwenda
kumtupa kwenye eneo hilo ambapo asubuhi ya kuamkia leo ndio kiwiliwili
chake kilibainika kuwepo hapo lakini hakina kichwa kwani waliondoka
nacho.
Kwa upande wake, Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kuwa polisi inaendelea kuwasaka watu waliohusika na tukio hilo hili hatua ziweze kuchukuliwa
Kwa upande wake, Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kuwa polisi inaendelea kuwasaka watu waliohusika na tukio hilo hili hatua ziweze kuchukuliwa
this is abnormal ... nimeshangaa na nimesikitika saaaaana watanzania
JibuFuta