Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Diwani Athumani, akitoa
taarifa kwa waandishi wa habari nje ya ofisi yake huku akiwa na baadhi
ya askari wa jeshi hilo mkoani hapa.
Pasi ya kusafiria kijana huyo alizokutwa nazo...
Kete zilizokutwa tumboni mwa kijana huyo baada ya kufan yiwa upasuaji katika hospitali ya Rufaa ya Mbeya.
Kulia ni kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Diwani Athumani,
akiwa amevalia mavazi maalum, kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika
hospitali ya rufaa ya Mbeya kwa ajili
ya kuona maiti hiyo.
Maiti ya kijana Kassim Said
Mboya ukiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya rufaa
ya Mbeya baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa dawa zinazodhaniwa
kuwa ni za kulevya.
*Wananachi watakiwa kufika hosiptali ya Rufaa Mbeya kuitambua
Hii ni maiti ya tatu kukamatwa ikiwa na kete za namna hiyo
0 comments:
Chapisha Maoni