Watu wanane wamethibitishwa kufariki dunia katika ajali
iliyohusisha treni na matatu iliyokuwa imewabeba watu wakielekea kazini
asubuhi hii katika mtaa wa Umoja viungani mwa mji wa Nairobi.
Matatu hiyo inayoaminika kuwa na watu 33
iligongwa na treni ilipokuwa inavuka njia ya reli kuelekea mjini.
Taarifa
zaidi na picha za ajali hiyo zitakujia hivi punde kupitia hapa hapa MCHOME BLOG.
0 comments:
Chapisha Maoni