CESAR AZPILICUETA AKISHANGILIA NA WACHEZAJI WENZAKE WA CHELSEA BAADA YA KUIFUNGIA CHELSEA BAO LA KWANZA DHIDI YA ARSENAL MECHI ILIYOCHEZWA JANA USIKU KATIKA UWANJA WA EMIRATES AMBAPO ARSENAL WALIFUNGWA MABAO 2-0.
JUAN MATTA AKISHANGILIA NA WACHEZAJI WENZAKE WA CHELSEA BAADA YA
KUIFUNGIA CHELSEA BAO LA PILI DHIDI YA ARSENAL MECHI ILIYOCHEZWA JANA
USIKU KATIKA UWANJA WA EMIRATES AMBAPO ARSENAL WALIFUNGWA MABAO 2-0.
CESAR AZPILICUETA NA WILLIAN WAKIFURAHIA GOLI.
JUAN MATTA AKIFURAHIA GOLI LAKE DHIDI YA ARSENAL.
0 comments:
Chapisha Maoni