Mbunge wa jimbo la Ubungo Mheshimiwa John Mnyika akiteta jambo na wapiga kura wake kupitia vyombo vya habari kuhusu maendeleo ya jimbo lake la ubungo.
Mbunge
wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika alipotembelea ujenzi wa kisima cha maji
kilichojengwa katika mtaa wa Msigani, Kata ya Msigani, ujenzi wa kisima
hicho umechangiwa na fedha za mfuko wa jimbokiasi cha Tsh 3.5 milioni
katika kumalizia ujenzi huo.
0 comments:
Chapisha Maoni