Kwa mujibu wa chanzo cha habari hizi ni kwamba Wenger ataendelea kujiingizia kiasi kile kile cha paundi milioni 7.5 kwa mwaka lakini atapata bonus kwa kila kombe atakalonyakua
Kwa mpango huo wa kusaini mkataba mpya kocha huyo wa Arsenal atakua amemaliza uvumi wa yeye kukihama klabu hicho na kujiunga na matajiri wa Ufaransa klabu ya PSG
GOLIKIPA WA BARCELONA IKER CASILLAS NI MMOJA KATI YA WACHEZAJI WANAOPIGIWA CHAPUO NA WENGER KATIKA USAJILI WA DIRISHA DOGO JANUARI.
MJERUMANI PATRICK HERRMAN NI MMOJA PIA YA CHAGUO NAMBA MOJA LA WENGER USAJILI WA JANUARI.
0 comments:
Chapisha Maoni