Washarika wa usharika wa KKKT Uraa wakimuaga mama mzazi wa mwandishi na mtangazaji wa ITV Ufoo Saro kabla ya kumpeleka kumuhifadhi katika nyumba yake ya milele
Mwili ukiingizwa kanisani
Gari lililobeba mwili wa marehemu Bi Anastazia Peter Saro likiwasili kanisani kwaajili ya kuombewa kabla ya kupelekwa kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele
Ibada ikiendelea katika usharika wa Uraa Machame
Mtoto wa Ufoo Saro akiwa kanisani na mama yake mdogo wakati wa kumuaga bibi yake Marehemu Anastazia Saro leo asubuhi katika kanisa la KKKT Usharika wa Uraa Machame.
KWA HISANI YA COMRED GODFREY MONYO.
0 comments:
Chapisha Maoni