Rais wa Marekani, Barack Obama
akikatiza katika maungio ya barabara ya 17 na Pennsylvania Avenue jijini
Washington, D.C., baada ya kutoka kwenye mgahawa wa mtaa wa jirani
kununua 'sandwich' tarehe 4 Oktoba 2013. (picha: Pete Souza/ Ikulu
"White House"). Wawakilishi wa Wananchi huko Bungeni 'wamemwekea usiku'
na 'kumzingua' Rais Obama kwenye mipango yake inayotegemea bajeti ambayo
waligoma kuipitisha, naye akatilia ngumu kubadili au kuondoa miradi
yake.
Jumapili, 6 Oktoba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni