Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu dada yake,Grace Mbowe, huko Moshi leo.
Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Reginald Mengi akiweka shada la maua kwenye kaburi la dada wa Freeman Mbowe.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,William Lukuvi akiweka shada la maua kwenye kaburi la dada wa Freeman Mbowe.
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiweka shada la maua kwenye kaburi la dada wa Freeman Mbowe.
0 comments:
Chapisha Maoni