Kwa mujibu wa mashuhuda waliopo hosiptali ya muhimbili hivi sasa ni kwamba Mwandishi wa habari wa ITV na Radio One Ufoo Saro yupo chumba cha wagonjwa mahututi ICU na hakuna daktari yoyote ambaye ameweza kuzungumzia hali yake kwa sasa.
Tuendelee kumuombea kwa Mungu UFOO SARO apate nafuu na apone
0 comments:
Chapisha Maoni