Searching...
Jumapili, 13 Oktoba 2013

HIZI NDIZO PICHA ZA MTANGAZAJI WA ITV & RADIO ONE UFOO SARO AKIWA HOSIPTALINI MUHIMBILI

 Ufoo Saro baada ya kufanyiwa upasuaji huo.
 Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimpeleka wodini Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufo Saro,  baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa risasi kufuatia kushambuliwa kwa silaha ya moto nyumbani kwa mama yake  Kibamba jijini Dar es Salaam leo na mtu aliyedaiwa ni mchumba wake ambaye pia alimuua mama yake na kisha kujiua.
 Wanahabari wakimpiga picha Ufoo Saro baada ya kuondolewa chumba cha upasuaji.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari akiwepo mtangazaji mwenzake wa ITV Sam Mahela wakimsindikiza Ufoo Saro wakati akipelekwa wodini.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!