Magari ya break-down yakifanya juhudi ya kunyanyua basi hilo
Askari
wa usalama barabarani wakijipanga kutoa huduma baada ya basi la
daladala lililokuwa limebeba wanafunzi takriban 50 wa shule ya msingi ya
Mgulani kugongana na gari dogo aina ya RAV 4 na kupinduka katika
makutano ya Kenyatta Avenue na Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar
es salaam jana jioni.
Uharibifu wa miundumbinu baada ya ajali hiyo
Askari wa
usalama barabarani wakiondoa mabegi ya wanafunzi hao ambao walitafutiwa
basi lingine kuwapeleka hospitali kwa uchunguzi zaidi
Wanafunzi wakiwa katika gari walilotafutiwa baada ya ajali hiyo
Picha kwa hisani ya MpekuziHuru.Com
0 comments:
Chapisha Maoni