Baadhi ya abiria wakiwa njia panda katika kituo cha mabasi Ubungo.
Mabasi yaendayo mikoani leo asubuhi
yamegoma kufanya safari zake kama ilivyo ratiba zake za kawaida, kwa
madai kwamba walikuwa kwenye mgomo. Mwandishi wetu John Chacha alipofika
katika Kituo kikuu cha mabasi Ubungo alikuta mabasi yote yakiwa
yamepakia abiria lakini hayakuwa yametoka kufuatia wamiliki wa mabasi
hayo kuwakataza madereva kuyatoa mabasi hayo kama ilivyo kawaida.
Mabasi hayo yamegoma kufuatia mgomo wa malori uliosababishwa na ongezeko la tozo la asilimia 5 katika mizani.
CHANZO NA ITV.
0 comments:
Chapisha Maoni