Naibu
Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka
(wa pili kushoto) akimsikiliza mmoja wa wateja wa benki hiyo waliofika
katika Tawi la Lumumba jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja inayoendelea nchi nzima.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia) akiangalia kwa makini taarifa za kibenki.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka
(wa pili kulia) akimsikiliza mmoja wa wateja wa benki hiyo waliofika
katika Tawi la Lumumba jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja inayoendelea nchi nzima.
Baadhi ya Wateja
waliofika katika Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe wakipata huduma wakati
wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja inayoendelea nchi nzima.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka
(wa pili kushoto) akimsikiliza mmoja wa wateja wa benki hiyo waliofika
katika Tawi la Lumumba jijini Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja inayoendelea nchi nzima.
Mkurugenzi
wa Wateja Wadogo Wadogo wa Benki ya CRDB, Nellie Ndosa (kulia)
akiwahudumia wateja wa beki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki
ya Huduma kwa Wateja inayoendelea nchi nzima.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Saugata Bandyadhiyay akisalimiana
na Bolozi Mwanaidi Maajar wakati alipofika katika tawi la PPF Tower
jijini Dar es Salaam jana, ambapo viongozi wa benki hiyo walikuwa katika
matawi ya benki hiyo kusikiliza kero za wateja wao katika maadhimisho
ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Wa pili kulia ni Meneja wa tawi hilo, Can
Maseyeck
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Saugata
Bandyadhiyay akisalimiana na baadhi ya wateja wa benki hiyo
alipotembelea tawi la Premier jijini Dar es Salaam, ambapo viongozi wa
benki hiyo hiyo
walikuwa katika matawi ya benki hiyo kusikiliza kero za wateja pamoja
na kupata maoni ya wateja juu ya huduma wanazotoa, wakati maadhimisho ya
Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Baadhi ya Maofisa wa benki wa CRDB wakiwa wamepozi kwa picha.
Maofisa wa Benki ya CRDB, tawi la Lumumba wakitoa msaada kwa mteja wa benki hiyo mwenye ulemavu wa miguu na mikono.
Ofisa
wa Benki ya CRDB, Abella Wilson katika tawi la Lumumba jijini Dar es
Salaam, akimsaidia kujaza fomu mteja wa benki hiyo, Selema Said Rajab
ambaye anaulemavu wa miguu na mikono, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Maofisa
wa Benki ya CRDB wakiwakaribisha wateja wao kwa nyuso za furaha, ikiwa
ni siku ya kwanza ya Wiki ya Huduma kwa Wateja katika matawi yote ya
benki ya CRDB.
Wateja wakipata huduma.
0 comments:
Chapisha Maoni