Mmoja ya wahamiaji haramu akishushwa toka kwenye lori la mizigo
lililobeba shehena ya chokaa likitokea Tanga na kukamatwa Morogoro jana
Wahamiaji haramu wakiwa kituoni Morogoro baada ya kukamatwa
wakisafirishwa na lori la mizigo lililokuwa limepakia shehena ya chokaa
kutoka mkoani Tanga.
Lori la mizigo lililokuwa limepakia shehena ya chokaa toka mkoani
Tanga likiwa kituo cha polisi Morogoro baada ya kukamatwa likiwa na
wahamiaji haramu.
Mmoja ya wahamiaji haramu akiwa amekamatwa na polisi mkoani Morogoro
toka kwenye lori la mizigo lililosheni chokaa toka mkoni Tanga.
0 comments:
Chapisha Maoni