Searching...
Jumatano, 9 Oktoba 2013

TAHADHARI VIDEO INATISHA..ANGALIA VIDEO YA UONE SIMULIZI LA JAMAA ALIYEMPIGA MKEWE HADI AKAMUUA

Kesi za unyanyasaji dhidi ya wanawake zinazidi kuwa nyingi. Wanawake wameendela kuumizwa na ubabe wa waume zao. Hivi karibuni, katika kijiji cha Kizanda wilayani Lushoto mkoa wa Tanga, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Bi. Rahima alifariki dunia baada ya kupigwa na mumewe mateke ya tumboni angali mja mzito. Taarifa za awali kutolewa zinasema kuwa mwanamke huyo alifariki kutokana na homa, lakini ndugu wa marehemu wamedai kuwa kifo cha ndugu yao kimetokana na kipigo. Bi Rahima ambaye alikuwa ni mja mzito, alifariki mwezi wa saba mwaka huu. Taarifa za awali ambazo zilifikia Wanawake Live na Super Woman Joyce Kiria kufuatilia zilionekana kupita EATV usiku wa jana, na pia unaweza kufuatilia kwenye YouTube kupitia linki hii hapa chini ili ufahamu kile wanasheria wamekizungumza katika kutafuta haki kufuatia suala hili ambalo hata viongozi wa kijiji hicho wameshindwa kulitatua.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!