| ||
Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi mkoa wa Njombe |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akionyesha kitabu maalum alichopewa na Rais Kikwete kabla ya kuzindua mkoa wa Njombe katika uwanja wa Saba saba |
Wadau kutoka mkoa wa Iringa waliofika kushuhudia hafla ya uzinduzi wa mkoa wa Njombe |
wanahabari wakifuatilia matukio ya uzinduzi wa mkoa mpya wa Njombe |
Rais Kikwete akigawa vitabu vya mkoa wa Njombe kwa wabunge kulia ni mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akisoma kitabu hicho |
Wazee wa Njombe wakimvisha Rais Kikwete vazi maalum la kichifu kabla ya kuzindua mkoa wa Njombe |
Mtoto aliyekuwa akicheza halaiki akiwa amepoteza fahamu baada ya kuanguka ghafla wakati wa kuimba wimbo wa Taifa |
Benk ya NMB yazidi kuwafikia wananchi yakabidhi hundi ya TSh milioni 20 kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo ya mkoa wa Njombe |
0 comments:
Chapisha Maoni