Taarifa zilizotufikia hivi sasa ni kwamba Ajali
mbaya sana imetokea muda huu eneo la Migela Mjini Bukoba,huenda watu
kadhaa wakawa wamepoteza maisha kufuatia ajali hiyo kutokana na zoezi la uokoaji linaloendelea kwa kusuasua.
Endelea kufuatilia MCHOME BLOG kwa taarifa kamili
Endelea kufuatilia MCHOME BLOG kwa taarifa kamili
0 comments:
Chapisha Maoni