Mchunguzi wa masuala ya milipuko wa kimataifa akiendelea na kazi yake katika maeneo ya nje ya jengo la Wesgate jijini Nairobi,huku ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa nje ya jengo hilo.
Askari wa kikosi cha farasi na mbwa na farasi wakichunga doria nje ya jengo hilo wakati wachunguzi wa masuala ya milipuko wa kimataifa wakiendelea na uchunguzi wao ndani ya jengo hilo la westgate lililoshambuliwa na wanamgambo wa alshaabab jumamosi iliyopita.
0 comments:
Chapisha Maoni