WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 02/09/2013.
|
[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Mara, Mwanza na
Kagera]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Ruvuma,Shinyanga,
Lindi na Mtwara] :
[Mikoa ya Dar Es Salaam,
Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma, Mbeya,
Singida na Rukwa]:
[Mikoa ya Kigoma, Iringa na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
|
ARUSHA
|
26°C
|
12:35
|
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:22
|
|
DODOMA
|
30°C
|
12:36
|
|
KIGOMA
|
31°C
|
01:00
|
|
MBEYA
|
28°C
|
12:43
|
|
MWANZA
|
28°C
|
12:49
|
|
TABORA
|
32°C
|
12:48
|
TANGA |
29°C
|
12:23
|
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:22
|
|
PEMBA
|
29°C
|
12:23
|
|
MOROGORO
|
31°C
|
12:29
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi
ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa
kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumatatu:
02/09/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 02/09/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni