Wanafunzi
wakipata maeleo mbalimbali kuhusiana na Fao la Urithi, ambalo
linamuwezesha mtoto chini ya umri wa miaka 18 hadi 21 kupata asilimia 60
ya mgao wa mwanzo wa ambapo ,wanachama atafariki kwa ajili ya
kumuwezesha katika elimu.

Ofisa Uhusiano wa NSSF, Maife Kapinga akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dk. Didas Masaburi, kuhusu Fao la Urithi ambalo linamuwezesha mwanafunzi kupata asilimia 60 ya mgao wa mwanzo endapo mtegemezi atafariki kwa ajili ya kumuwezesha katika masomo yake, wakati wa Maonesho
ya Vodacom Elimu Expo 2013 yaliyofanyika kwenye viwanja vya Posta
Kijitonyama jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Wa pili kulia ni
Ofisa Matekelezo NSSF, Rose Kayombo.
Kutoka
kulia ni Ofisa Matekelezo NSSF, Rose John Kayombo, Ofisa Idara ya
Kompyuta, Grace Magigita na Ofisa Uhusiano wa NSSF, Maife Kapinga.
DARE SALAAM, Tanzania
WANAFUNZI waliojitokeza katika Maonesho ya Vodacom Elimu Expo 2013 wamefurahishwa na huduma zinazotolewa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), hususani katika Fao la Urithi.
Fao hilo lililowafurahisha mno wanafunzi hao, linawawezesha watoto wenye umri chini ya miaka 18 hadi 21 kunufaika, huku likiwawezesha kupata asilimia 60 ya mgao wa mwanzo endapo mtegemezi anapofariki.
Akizungumzia sababu zinazowafanya wanafunzi kuifurahia huduma ya Fao la Urithi, Ofisa Uhusiano wa NSSF, Maife Kapinga alisema kuwa fao hilo limekuwa mkombozi kwa wanafunzi kwa kuwawezesha katika elimu pindi mtegemezi anapofariki, hivyo kuwanufaisha watoto walio mashuleni.

"Mwanachama
endepo akifariki asilimia 60 ya mgao wa mwanzo unakwenda kwa watoto
wasiozidi 4 wenye umri chini ya miaka 18 hadi 21 ambao wapo mashuleni
kwa ajili ya kujiendeleza kielimu, hii imewafanya wengi miongoni mwa
wanafunzi kuvutiwa na huduma hiyo," alisema Kapinga.
NSSF
imeanzisha matibabu ya bure kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu ambapo imeingia
mkataba na hospitali za vyuo kupitia Fao la SHIB, ambalo linamuwezesha
mwanafunzi wa chuo kupata huduma za matibabu bure, endapo mwanafunzi atachangia sh. 20,000 kwa mwezi.
NSSF pia hutoa mikopo ya Elimu kupitia Saccos ambapo wanachama wanaweza kukopa kuanzia milioni 50 hadi bilioni 1.
NSSF pia hutoa mikopo ya Elimu kupitia Saccos ambapo wanachama wanaweza kukopa kuanzia milioni 50 hadi bilioni 1.

0 comments:
Chapisha Maoni