WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 21/09/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza]:
[Mkoa wa Kigoma ]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam,
Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Shinyanga, Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na
Lindi]:
[Mikoa ya Rukwa,
Iringa na Mbeya]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
|
ARUSHA
|
24°C
|
12:30
|
|
D'SALAAM
|
32°C
|
12:19
|
|
DODOMA
|
28°C
|
12:33
|
|
KIGOMA
|
30°C
|
12:58
|
|
MBEYA
|
26°C
|
12:41
|
|
MWANZA
|
27°C
|
12:44
|
|
TABORA
|
31°C
|
12:45
|
TANGA |
29°C
|
12:20
|
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:19
|
|
PEMBA
|
28°C
|
12:20
|
|
MOROGORO
|
29°C
|
12:26
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka
Kusini-Mashariki kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka
Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi:
21/09/2013: Mabadiliko kidogo.Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 21/09/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni