Mtoto aliyeibwa akiwa amejilalia zake huku akiwa hajui hata kwamba ameibwa

Hii
imetokea leo ijumaa sept.20,2013 mchana huko mjini musoma, mwanamke huyu kanusurika kuuawa na
wananchi wenye hasira baada ya kudaiwa kuiba mtoto wa siku moja.
(KWA
HABARI ZAIDI VUTA SUBIRA).

0 comments:
Chapisha Maoni