Searching...
Jumatano, 11 Septemba 2013

MFALME MSWATI AENDELEZA MILA NA DESTURI ZA SWAZILAND

"Ninajivunia sana kuwa Mswazi na kuwa binti mwenye bikra,tupo hapa kuonyesha umoja na mfalme wetu King Mswati III"alisema binti mmoja wa umri wa miaka 18.
Hawa ni wale mabinti ambao sio mabikra nao wanakua na nafasi yao mbele ya mfalme wao

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!