Searching...
Alhamisi, 19 Septemba 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA ALHAMISI 19-09-2013 UKIWA NA ANGALIZO



WIZARA YA UCHUKUZI

                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.


  UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 19/09/2013.

[Mikoa ya Kagera,  Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya  Kigoma na  Shinyanga]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
[Mikoa ya Rukwa, Iringa  na Mbeya]:
[Mikoa ya Morogoro, na Tabora]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]: 
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

 TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOKADIRIWA KUFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOKARIBIA MITA 2  YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA PWANI YA KASKAZINI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.

  VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:



MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               28°C                
12:31
D'SALAAM
          33°C           
12:20
DODOMA
29°C
12:34
KIGOMA           
31°C
12:58
MBEYA
27°C
12:42
MWANZA
28°C
12:46
TABORA
32°C
12:46
TANGA
30°C
12:21
ZANZIBAR
            31°C           
12:20
PEMBA
           29°C           
12:21
MOROGORO
31°C
12:27

 Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki;  kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani  ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

 Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.  

 Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi: 19/09/2013: Mabadiliko kidogo.

 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 19/09/2013.

  Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA. 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!