

MTUHUMIWA AKIWA AMEVULIWA NGUO ZOTE NA WANANCHI.
Tukio
hilo la kusikitisha limetokea siku mbili zilizopita huko Makurdi, mtaa
wa Iniko nchini Nigeria, ambapo mdada alimcharanga mwenzie kwa viwembe
katika sehemu za usoni baada ya malumbano yaliyodaiwa kusababishwa na
kuchukuliana bwana.
Wadada
hao walizozana kwa muda na kushindwa kufikia muhafaka kwa madai ya
kuchukuliana bwana, ambapo yarepotiwa kuwa mshtakiwa (aliyemchana
mwenzie na viwembe) ndiye alianza kutoka na bwana huyo waliomuita Sugar
Daddy kwa kuwa alikuwa kama Buzz tu wakumchuna na kisha kwenda
kumsimulia mwenzie, na mwenzie akachukua uamuzi wa kutembea na Sugar
Daddy huyo...ndipo ugomvi ulipoanzia.
Kwa
mujibu wa habari kamili zimedai kuwa tukio hilo lililotokea jumanne ya
wiki hii limechukua picha ya namna yake baada ya mdada huyo kumjeruhi
mwenzie kwa viwembe sehemu za usoni kisha akatiwa nguvuni na kutolewa
nguo zote na kuachwa kama alivyozaliwa.
0 comments:
Chapisha Maoni