 |
Mwakilishi
wa NSSF-Makao Makuu,Salim Khalfan akifafanua masuala mbalimbali
yatokanayo na faida za kujiunga na shirika hilo la NSS,ndani ya semina
ya kamata fursa twendzetu iliofanyika mapema leo kwenye moja ya ukumbi
wa hotel ya Africans dream,iliyoko nje kidogo ya mji wa Dodoma. |
 |
Msanii
mahiri wa Kughani Mashairi kwa mtindo wa kisasa kabisa,Mrisho mpoto
akizungumza mbele ya sehemu ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma na vitongoji
vyake waliojitokeza mapema leo asubuhi kwenye semina ya kamata Fursa
twendzetu,iliofanyika ndani ya moja ya ukumbi wa hotel ya Africans
dream,iliyoko nje kidogo ya mji wa Dodoma. Semina
ya Kamata Fursa twendzetu inayoratibiwa na Clouds Media
Group,imekwishafanyika mikoa zaidi ya mitano ikiwemo
Kigoma,Tabora,Singida,Mtwara,Mbeya,Iringa sambamba na leo ndani ya
Dodoma,ambo semina hizo zote zimeonesha mafanikio makubwa kwa vijana
kwali walikuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye ushiriki. |
Sehemu ya washiriki wa semina hiyo ilipokuwa ikiendelea mapema leo asubuhi.
 |
Wakifuatilia
kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye semina hiyo ya
kamata fursa twendzetu,mapema leo asubuhi mkoani Dodoma. |
 |
Sehemu ya ya watu wakifuatilia kwa umakini yaliyokuwa yakijiri kwenye semina hiyo. |
 |
Meneja
wa NSSF mkoani Dodoma,Bwa.Kirondera Nyabuyenze akizungumza fursa
mbalimbali zitokanazo na shirika la NSSF,Nyabuyenze amewataka watu
mbalimbali wajitokeze kwa wingi kujiunga na NSSF,ili kujipatia fursa
mbalimbali zikiwemo mikopo,matibabu na mambo mengiyo mbalimbali. |
 |
Mwakilishi
wa Kampuni ya Maxmalipo,Renard Munuri akizungumza kwenye semina ya
Kamata Fursa Twenzetu kwa vijana,kuhusiana na masuala mbalimbali
yanayofanywa na kampuni yake katika kusaidia huduma za jamii,ndani ya
moja ya ukumbi wa hotel ya Africans dream,iliyoko nje kidogo ya mji wa
Dodoma. |
 |
Mmoja
wa Watangazaji mahiri wa Clouds FM,akizungumzia fursa mbalimbali
alizokumbana nazo na namna alivyozifanyia kazi na kujipatia sehemu ya
mafanikio katika kupambana na maisha.Semina ya Kamata Fursa twendzetu
inayoratibiwa na Clouds Media Group,imekwishafanyika mikoa zaidi ya
mitano ikiwemo Kigoma,Tabora,Singida,Mtwara,Mbeya,Iringa sambamba na
leo ndani ya Dodoma,ambo semina hizo zote zimeonesha mafanikio makubwa
kwa vijana kwali walikuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye ushiriki. |
 |
Baadhi
ya wasanii ambao wamenufaika mara baada ya kujiunga na Shirika la
NSSF,shoto ni Queen Doreen na Mwasiti wakijadiliana jambo na mdau
Phillipon mapema leo,wakati semina ya Kamata fursa twendzetu ilipokuwa
ikiendelea. |
 |
Sehemu ya wakazi wa mji wa Dodoma wakiwa wamejitokeza mapema leo asubuhi kwenye semina ya fursa kwa vijana |
 |
Sehemu ya meza kuu ya watoayo mada wakishangilia jambo.
|