Searching...
Jumapili, 8 Septemba 2013

NYOMIIIIIIIIIIII,HIVI NDIVYO KILI TOUR KIKWETU KWETU ILIVYOITEKA KAHAMA JANA USIKU

Wakazi wa Kahama hawataki kupitwa na Tamasha la Kili Music Tour 2013,kwani waitika wito kwa Wingi wa ajabu.
DJ Kim akifanya yake ndani ya Uwanja wa Taifa wa Kahama jana jioni wakati wa Tamasha la Kili Music Tour 2013 "Kikwetu Kwetu".
Wadau wakiwakilisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Kahama jana jioni.
Nyomi la kufa mtu ndani ya Uwanja wa Taifa hivi sasa,hakuna hata kwa kupitisha mguu.
Wadau Back Stage,
Kinadada wa Kahama wakionyesha umahiri wao wa kulizungusha nyonga.
Huku Zembwela na Huku Abdallah Ambua,unahisi wanazunguma nini hapa???.....sasa hii ni Mwanzo,endelea kuvuta subira kuona mambo mazuri ya Tamasha hili la Kili Music Tour 2013 "Kikwetu Kwetu" ndani ya Uwanja wa Taifa wa Kahama.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!