watu kutoka sehemu mbali za mji wameshiriki mazishi |
mwili wa marehemu ukiwa katika sanduku watu wakitoa heshima za mwisho |
Mtumishi wa mungu akiomwombea marehemu aende kwa amani |
Hapa msafara kwa ajiri ya kuupeleka mwili wa marehemu katika nyumba ya milele |
Baadhi ya madereva wa bodaboda wakijadili jambo kabla ya kuupeleka mwili wa marehemu kuzikwa |
wakazi wa mtaa wa kihodombi wakiwa nyumbani kwa marehemu |
0 comments:
Chapisha Maoni