Searching...
Jumatatu, 16 Septemba 2013

MTUHUMIWA WA MAUAJI,ALA KIPIGO NUSURA ROHO ITOKE


kijana anayetuhumiwa kumteka na  kufanya mauwaji ya dereva  Boda  boda Edga Lalika akiwa amezimia baada ya  kupewa kichapo na madereva  boda boda  leo eneo la Stendi  kuu ya mkoa  wa Iringa baada ya kukamatwa  eneo la Mwangata
Hapa akiokolewa na polisi
Askari polisi mjini Iringa  wakimuokoa mtuhumiwa  wa mauwaji ya  dereva  boda boda mjini Iringa
Hapa  akiingizwa katika gari la polisi kunusuru  kuuwawa kwa kuchomwa moto.
Wananchi  wakishuhudia  tukio  hilo leo
Polisi  wakimuokoa mtuhumiwa wa mauwaji  ya  dereva  boda boda  leo mjini Iringa
Gari la  polisi ambalo limembeba mtuhumiwa wa mauwaji ya  dereva  boda boda
Msafara  wa madereva  boda  boda  wakilifukuza gari la  polisi kwa nyuma
Mwili  wa marehemu Edga Lalika anayedaiwa kuuwawa na mtuhumiwa huyo juu aliyekamatwa  

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!