SAMWEL ETOO PHILS.
Mchezaji wa kimataifa wa Cameroon na timu ya Chelsea Samwel Etoo ametangaza rasmi kuachia ngazi kuichezea timu yake ya taifa ili kuhakikisha anajikita zaidi kwenye timu yake ya Chelsea ili kuipa vikombe vingi zaidi...je wa Cameroon watamuelewa? endelea kufuatilia story yake kupitia hapa hapa MCHOME BLOG kwa taarifa zaidi.
0 comments:
Chapisha Maoni