Searching...
Jumatatu, 9 Septemba 2013

MCHINA ABAMBWA LIVE AKIFANYA UMACHINGA WA SIMU BAR MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM-ANGALIA VIDEO HII UNIAMBIE TANZANIA TUNAKWENDA WAPI



 

Hivi ndivyo huyu Mchina alivyobambwa na Camera ya MCHOME BLOG akiuza simu za mkononi katika bar ya Maryland Mwenge jijini DSM mtindo wa kimachinga akipita meza moja baada ya nyingine huku kiswahili kikimpiga chenga...Swali ni je,ameingia nchini kwa kibali cha kufanya kazi gani? na je,sheria zinasemaje kwa wageni kufanya kazi kama hii? na je,usalama wa taifa,polisi na uhamiaji hawawaoni hawa? na je kama wanawaona kwanini wanawaachia? na je Mtanzania anaweza akafanya kazi hizi China?....kwahakika maswali ni mengi na sioni wa kumuuliza any
way.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!